Search

31 results for Nazael Mkiramweni :

  1. Mkutano mkuu CCM waacha neema kwa wajasiriamali Dodoma

    Wajasiriamali waliokuwa wakiuza bidhaa mbalimbali nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete ulikofanyika mkutano mkuu maalum wa CCM wameeleza jinsi walivyoweza kuuza bidhaa zao kwa wingi.

  2. VIDEO: Wajumbe 1876 kumchagua mwenyekiti mpya CCM

    Wajumbe 1876 wa mkutano mkuu maalumu wa CCM wanatarajiwa kupiga kura jina moja litakalowasilishwa katika mkutano huo kumchagua mwenyekiti mpya wa chama hicho tawala nchini.

  3. Polisi wakamata 41 Dodoma

    Watu 41 na pikipiki 16 wamematwa Dodoma kwa tuhuma za kufanya matukio ya uhalifu.

  4. Wabunge, wasomi na wananchi wazungumzia hotuba ya Samia

    Wabunge, wasomi na wananchi wametoa maoni kuhusu hotuba aliyoitoa Rais Samia Suluhu Hassan bungeni, ambayo ililenga kutoa mwongozo na vipaumbele vya uongozi wake.

  5. Ripoti ya CAG yamuibua Mchengerwa

    Waziri wa Nchi (Ofisi ya Rais) Menejimenti na Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanyia kazi uchunguzi wa dosari za fedha katika...

  6. Bei mafuta ya kula yaongeza makali kwa wananchi

    Ongezeko la bei ya mafuta ya kula limezidi kuwa kilio kwa wananchi, hasa wenye kipato cha kawaida na wale wa chini, huku Serikali ikisema kuwa italitolea ufafanuzi suala hilo Jumanne ijayo.

  7. Madereva 10 wa mabasi kikaangoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameagiza Jeshi la Polisi nchini kuwanyang’anya leseni madereva 10 wa mabasi yanayofanya safari zake katika Mikoa mbalimbali nchini kutokana na...

  8. Maelfu wafurika Uwanja wa Jamhuri kumuaga Magufuli

    Idadi kubwa ya watu kutoka Dodoma, mikoa ya jirani na nje ya nchi wamefika katika Uwanja wa Jamhuri jijini humo kuaga mwili wa Hayati Rais John Magufuli.

  9. Mamia wajipanga barabarani kumuaga Magufuli Dodoma

    Idadi ya wananchi wa Dodoma na mikoa jirani inaendelea kuongezeka barabarani wakisubiri kupokea mwili wa hayati Rais John Magufuli.

  10. Viongozi wapewa utaratibu wa kuketi shughuli ya kumuaga Magufuli Dodoma

    Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi amewataka viongozi watakaoshiriki shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli kesho Jumatatu Machi 22, 2021 katika Uwanja wa...

Page 1 of 4

Next